Friday, June 19, 2020

ZIFAHAMU FAIDA MUHIMU ZA UBUYU

ubuyu ni ungaunga wa rangi ya maziwa wa matunda ya mbuyu ukiwa na mbegu zake au bila mbegu.
Ubuyu umekuwa ni mmea wenye faida nyingi kwa mwili wa binadamu.

Faida za ubuyu

1. Unga wa ubuyu una vitamini C
2. Ubuyu una kiwango kingi cha madini ya Kalshiamu (Calcium).
3. Husaidia kujenga neva za fahamu mwilini
4. Ina virutubisho vya kulinda mwili
5. Ubuyu una vitamini B3 na vitamini B2 ambayo ni mhimu katika kuondoa sumu mwilini na umeng’enyaji wa madini ya chuma,
6. Unaongeza kinga ya mwili sababu ya kuwa na kiasi kingi cha VITAMIN C
7. Huongeza nuru ya macho
8. Husaidia kuzuia kuharisha na kutapika
9. Ina magnesiam ambayo husaidia kujenga mifupa na meno
10. Husaidia wenye presha ya kushuka na wenye matatizo ya figo.
Share: