Sunday, July 12, 2020

UKE MKAVU,SABABU NA MATIBABU

UKE MKAVU
...
Uke mkavu; Ni tatizo ambalo husababishwa na upungufu wa homoni au kuto kuwa na uwiano wa homoni ya estrogen ambayo hupeleke misuri ya uke kusinya na kukosa vilainishi.
-kwa kawaida uke unatakiwa kuwa na ute wawastani ambao hufanya uke kubana kuleta joto na raha ya tendo.
-ute huo ukizidi sana au kuwa pungufu sana nalo ni tatizo
VISABABISHI VYA UKE MKAVU
-utumiaji mafuta yenye kemikalu(corxmetric)
-magonjwa ya zinaa na fangasi
-matunizi ya sabuni za anti biotics kwa kuoshea uke
-woga na wasisi
-upungufu wa homoni
DALILI ZA UKE MKAVU
-Maumivu wakati wa tendo la ndoa
-kupungua hamu ya tendo la ndoa
-kutofurahia tendo la ndoa kutokana na maumivu
-kuwa na ngozi kavu
-maumivu ya mifupa na viungo
-msongo wa mawazo
-mzunguko wa hedhi kubadilika badilika
MATIBABU YA UKE MKAVU
Kuna dawa ambazo zimetengenezwa kwa kuzingatia muro kamili na ni rafiki na ni bora kwa afya yako kama vile
*SOY POWER
*ROYAL JELLY
*MULTI VITAMIN
*PINE POLLEN
Pia kuna vidonge ambavyo pia husaidia katika kusimamisha misuri iliyo sinya na kurejesha hali ya virainishi vidonge hvyo ni
*VIGAFEM
*ESTROCE na PREMATIN
Vidonge hivi haruhusiwi kutumia mgonjwa wa
-saratani ya matiti
-saratani ya shingo ya kizazi
-wajawazoto na wanyonyeshaji
USHAURI
penda kula vyakula vifuatavyo
-maziwa ya mtindi
-viazi utamu vina vitamin A na C
-kitungu saumu
-mboga mboga za majani
-matunda kama maparachichi na mengineyo
-kunywa maji mengi
-mapera machungwa na pilipili hoho Vina vitamin C
-mbegu za mabonga
-uyoga
-penda kula bamia pia kama itakuwa bichi basi kula nusu tu.
Cervical Mucus Monitoring | Time to Conceive

Share: