P I D
PELVIC INFLAMMATORY DISEASE
LIJUE TATIZO LA PID
PELVIC INFLAMMATORY DISEASE
LIJUE TATIZO LA PID
PID:Ni maambukizi katika mfumo wa uzazi hasa katika via vya uzazi
-Ugonjwa huu huathiri zaid sehemu za nyonga
-Ugonjwa huu huathiri zaid sehemu za nyonga
VISABABISHI VYA PID
-utoaji mimba
-Ngono zembe
-Wakati wa kujifungua
-Kutumia dawa za kuzuia mimba
-U.T.I sugu
-Magonjwa ya zinaa kama kaswnde,gonorea n.k
-Kuweka vitu ukeni kama vagina danches
-utoaji mimba
-Ngono zembe
-Wakati wa kujifungua
-Kutumia dawa za kuzuia mimba
-U.T.I sugu
-Magonjwa ya zinaa kama kaswnde,gonorea n.k
-Kuweka vitu ukeni kama vagina danches
DALILI ZA PID
-kutokwa damu katikati ya hedhi
-Maumivu makali chini ya kitovu
-Kupata maumivu makali wakat wa tendo
-Kutokwa damu wakati wa tendo
-Kutokwa na damu bila mpangilio maalum wakat wa hedhi
-Kupata homa mara kwa mara
-Maumivu makali wakati wa kukojoa
-Maumivu ya kiuno na mgongo
-Kichefu chefu cha mara kwa mara
-kutokwa damu katikati ya hedhi
-Maumivu makali chini ya kitovu
-Kupata maumivu makali wakat wa tendo
-Kutokwa damu wakati wa tendo
-Kutokwa na damu bila mpangilio maalum wakat wa hedhi
-Kupata homa mara kwa mara
-Maumivu makali wakati wa kukojoa
-Maumivu ya kiuno na mgongo
-Kichefu chefu cha mara kwa mara
MADHARA YA PID
-Kuziba kwa mirija ya uzazi
-Kuto shika mimba
-Mimba kutungwa nje ya mji wa uzazi(Ecto pregnancy)
-Uvimbe katka kizazi
-Kuziba kwa mirija ya uzazi
-Kuto shika mimba
-Mimba kutungwa nje ya mji wa uzazi(Ecto pregnancy)
-Uvimbe katka kizazi