Monday, July 6, 2020

Njia 17 rahisi kwa wanawake kuepuka upasuaji wakati wa kujifungua

Usipofanya Mambo Haya Utajifungua kwa Upasuaji ~ Mwalimu Makoba
Njia 17 rahisi kwa wanawake kuepuka upasuaji wakati wa kujifungua. Ingawa kujifungua kwa njia ya upasuaji kunafaa kutekelezwa kwa kushauriwa na daktari, wanawake wengi wa kisasa wamegeukia hiyo kama njia ya kipekee ya kupata watoto. Mara nyingi, uamuzi huo huchukuliwa wakati haiwezekani kujifungua kwa njia ya kawaida. Lakini wanawake wengi wanatumia njia ya kisu kutokana na sababu wanazozielewa wenyewe. Kulingana na wataalamu wa matibabu, ni vyema kuepuka kujifungua kwa njia ya upasuaji kwa sababu ya kujitia katika hatari zinazoweza kuzuiwa kama vile kuvuja damu, magonjwa na wakati mrefu kabla ya kupona.

 1. Kufanya mazoezi mara kwa mara kabla ya kubeba mimba 

2. Kuhudhuria kliniki

 3. Kutumia mkunga kukuongoza wakati wa uchungu wa mtoto

 4. Kuwa mtulivu na kukubali uchungu wa mwana kuendelea kabla ya kukimbia hospitalini.

 5. Usidungwe sindano ya kukupa uchungu Njia 17 rahisi kwa wanawake kuepuka upasuaji wakati wa kujifungua.

 6. Kubali maji ya ujauzito kujipasua yenyewe.

 7. Epuka kudungwa sindano ya kumaliza uchungu unapojifungua

 8. Amini mwili wako 

9. Tafuta daktari anayeamini kujifungua kwa njia ya kawaida Habari Nyingine: Kutana na mwanafunzi ambaye hufadhili masomo yake kwa kupaka nyumba rangi 

10. Uliza maswali mengi wakati wa uchungu daktari anapopendekeza upasuaji 

11. Kumbuka kuwa kuzaa ni biashara ya hospitali

 12. Jiulize unachofikiria ni kizuri kwako na kwa mtoto Njia 17 rahisi kwa wanawake kuepuka upasuaji wakati wa kujifungua.

13. Usiwe na mawazo mabaya au kupatwa na shinikizo.

14. Pumzika kabla na wakati wa uchungu wa kujifungua.

 15. Unapopatwa na uchungu, simama kumpa mtoto nafasi ya kuteremka

 16. Jaribu unaloweza kuishi buheri wa afya na epuka hali zinazoweza kufanya kufanyiwa upasuaji

 17. Kaa na watu wanaokutia moyo wakati wa uja uzito, uchungu, epuka watu wanakueleza hadithi za kuhofisha kuhusu kujifungua
Share: