Karanga ni moja ya vyakula katika kundi la Legumes (KUNDE). Tokea zamani Babu zetu walitumia karanga kama chakula na hasa wanaume walizitumia zaidi kwasababu walitambua umuhimu wa karanga katika afya ya mwanaume. Kutokana na umuhimu mkubwa na faida za karanga Kwa afya za wanaume, Inashauriwa Kwa mwanaume aliyeoa Kula karanga angalau nusu ya kiganja cha mkono wake kila siku, ila Kwa ambao hawajaoa inashauriwa wale angalau robo kilo ya karanga Kwa wiki moja.
VIRUTUBISHO VINAVYOPATIKANA KWENYE GRAMU 100 ZA KARANGA.
#Calories 567
#Protein 7%
#Carbs 16.1g
#Sugar 4.7g
#Fiber 8.5g
#Saturated_fats 6.28g
#Monounsaturated 24.43g
#Polyunsaturated 15.56g
#Omega3* 0.01g
#Omega6* 15.56g
#Zinc_minerals
#Magnesium
#Potassium
#Manganese
#Calcium.
#Calories 567
#Protein 7%
#Carbs 16.1g
#Sugar 4.7g
#Fiber 8.5g
#Saturated_fats 6.28g
#Monounsaturated 24.43g
#Polyunsaturated 15.56g
#Omega3* 0.01g
#Omega6* 15.56g
#Zinc_minerals
#Magnesium
#Potassium
#Manganese
#Calcium.
FAIDA ZA KARANGA KWA WANAUME.
1. Kuongeza wingi au idadi ya mbegu za kiume.
2. Ulaji wa karanga unaongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa.
3. Ulaji wa karanga unasaidia uzwalishaji wa homoni za kiume.
4. Uwepo wa virutubisho vya allian kwenye karanga husaidia kuongeza mtiririko wa damu hasa kwenye Uume na kuleta ongezeko la nguvu za kiume.
5. Karanga zina mafuta mazuri ya monounsaturated fats na cholesterol nzuri (good cholesterol) ambayo ni muhimu kwajili ya kulinda afya ya moyo.
6. Karanga hufanya mifupa kua imara kutokana na uwepo wa madini ya Calcium, na Pia husaidia misuli kuwa vizuri na imara.