MADHARA YA KUTUMIA VIAGRA au VEGA ( Sildenafil)?
viagra au vega,ni dawa inayotumika sana miongoni mwa wanaume kwa lengo la kuongeza uwezo wao wa kufanya mapenzi ( sex),dawa hizi mara nyingi zinatumiwa na watu wenye matatizo katika mfumo wa uzazi yaani wasioweza kusimamisha vizuri kiungo cha uzazi lakini pia,imekua ikitumikahata kwa watu wasio kua na tatizo hilo ila anaitumia kwaajili yakumkomoa mwanamke flani na wengine hupenda kuiga vile wanavyofanya waigiza sinema za ngono (porn graph). bila kutambua madhara yake makubwa watu wanajiingiza kuzimeza dawa hizi,kwaleo napenda kukufahamisha jinsi inavyofanya kazi na madhara yake.
JINSI INAVYOFANYA KAZI:
Viagra,haimfanyi mtu kupata ashki ya kufanya ngono bali yenyewe hufanya kazi endapo tu mtu atakua amepata ashki ya kufanya ngono. ili upate kuelewa jinsi inavyofanya kazi nibora kuelewa jinsi mwanaume anavyoweza kusimamisha uume. pindi mwanaume anapopata ashki ya kufanya mapenzi,mishipa ya mfumo wa fahamu ( nervours system) ilioko katika misuli ya uume hutoa kemiko zinazoitwa Nitric oxide (NO), ambayo huamrisha viamshi ( enzymes) kuzalisha kemiko zingine tena zinazoitwa messenger Cyclic guanosine monophosphate ( cGMP ). cGMP huifanya misuli laini ya uume kujiachia na kutanuka ambapo matokeo yake huiruhusu damu kuingia na kujaa vizuri katika mishipa midogomidogo ( blood cappilaries) ilioko katika uume, hapo ndipo uume unaposimama vizuri sasa. hivyo basi Viagra hufanya kazi ya kusawazisha kiwango cha hii kemikali inayoitwa Cyclic guanosine Monophosphate ( cGMP ).

MADHARA YA VIAGRA;
kwa mara ya kwanza dawa hii ilitumika kutibu tatizo la pressurelakini ilionesha maajabu sana pale ilipo onekana kuwafanya wagonjwa kua na nguvu nyingi sana za kusimamisha maumbileyao ya uzazi, baada ya hapo zikazuiwa kutumika mahospitalini lakini baadae zikafanyiwa uchunguzi na zikarudishwa tena rasmi kwaajili ya watu wenye matatizo ya kusimamisha, ilikua ikitumika kwa watu hasa waliokosa nguvu za kiume kwasababuza kisaikolojia hivyo basi chini ya usimamizi wa dactari walikuawanapewa dawa hizi huku wakipewa ushauri nasaha ili wajiamini kua wanauwezo wa kufanya vizuri tendo hilo baada ya muda flani mgonjwa hurudi katika hali yake ya kawaida na kuacha kuzitumia dawa hizi lakini kwa sasa watu wengi wanatumia hata kama anatatizo la mfumo wa uzazi bado atalazimishia tu kuzitumia matokeo yake ni kama ifuatavyo;
~ Mtu anaetumia viagra bila ushauri wa dactari huku akiwa na matatizo mengine ya kiafya kama pressure yuko hatarini kupoteza ihai wake.
~ Kari mtu anavyotumia Viagra ndivyo tatizo linavyozidi kua baya zaidi, kwasababu viagra inamfanya asimamishe kwa muda mfupi hivyo akitaka kufanya mapenzi siku ingine lazima azimeze tena dawa hizi hali hii ya kuzimeza kila wakati inamfanya kua torelance ( tegemezi hali ya kumfanya azidi kuongeza dozi yake ili apate nguvu zinazomtosheleza ) mwishowa siku dawa hizi hutengeneza sumu mwilini na kuua kabisa nguvu za kiume.
~ Mtu anaetumia Viagra yuko hatarini kupata ukiziwi,
~ mtu anaetumia viagra ,yuko hatarini kupoteza uwezo wa kuona hii ni kutokana kwamba dawa hizi hua baadhi ya viachocheo vinavyofanya kaza ya kusafirisha mwanga na picha kuelekea katika mfumi wa fahamu kuharibiwa na dawa.
hivi.kulikoni kutumia dawa hizi ni bora ukatafuta dawa za mitishamba,mbona kunadawa za mitishamba nimeshuhudia zikifanya kazi kwanini basi watu bado wanakimbilia chemotherapy ambazo zinaongeza magonjwa miilini mwetu. Napenda kukushauri kueoukana na kukimbilia kutumia dawa hozi Viagra ni hatari sana.