Saturday, June 27, 2020

MADHARA YA KUNYONYANA SEHEMU ZA SIRI/ESPECIALLY UKE(ORAL SEX)

Hakuna ufafanuzi unaopatikana wa picha.
MADHARA YA KUNYONYANA SEHEMU ZA SIRI/ESPECIALLY UKE(ORAL SEX) 
Ebu tupate tena fursa ya kujifunza suala hili muhimu ambalo wengi wetu hatulifahamu na badala yake tunaiga na kufuata mikumbo ya maneno ya watu mitaani bil kujua madhara yake.
Oral sex generally husababisha maambukizi ya magonjwa ya zinaa kama vile *kisonono,kaswende,na hata UKIMWI,Pia husababisha fangasi ya mdomo(oral fungal) kiurahisi sana kutokana na sehemu za siri za mwanamke kuwa na unyevunyevu hivyo kutunza vijidudududu kiurahisi sana katika UKE
KANSA YA KOO( CANCER OF OESOPHAGUS
-Hili ndilo tatizo kubwa sana linalosababishwa na unyanyaji wa sehemu za siri za mwanamke.Utafiti uliofanywa na shirika la afya duniani(WHO) umebaini yafuatayo:-
20% ya saratani ya koo husababishwa na ngono ya mdomoni(oral sex) na waathirika wakubwa ni vijana kati ya miaka 20-45 ambao tunajifanya tunayajua sana mapenzi na kutaka kuwakonga nyoyo wapenz wetu pasipokujua madhara yake tena wengine wanajua kabisa madhara yake ila ubishi tu mfano *DR FUKO* nimetumia jina la utan ni rafiki angu nimesoma nae.
Utafiti uliofanyika hivi karibuni umebaini watu 747 hugundulika na saratani ya koo itokanayo na ORAL SEX na kati ya hao wanaweke ni 472 na waliosalia ni wanaume.
Na takwimu zinaonesha kila mwaka zaidi ya wanaume 444 hupoteza maisha kutokana na kansa ya koo huku wanawake wakiwa 270 kila mwaka jamba ambalo sio zuri.
Sijasema saratani ya koo husababishwa na ngono ya mdomoni pekee(ORAL SEX) nooop bali hii nayo ni njia moja wapo inayosababisha kansa ya koo.
SARATANI YA KOO HUSABABISHWA NA VITU VINGI KAMA VILE
1.Ngono ya mdomo(oral sex)
2.Ulaji wa vyakula vyenye pilipili nyingi
3.Utumiaji wa pombe kali,mf gongo na konyagi afu hauli vzr baada ya pombe
4.Utumiaji wa kukithiri wa viti vichachu
5.Kurithi kutoka kwa mzazi
6.Umri mkubw
Share: